CHOMA CHICKEN

TZS 20,000

Our well marinated Chicken thighs;
then slowly cooked in a oven like grill.
1 Naan Bread
A portion of fries or you can opt for Fried Rice, Ugali or Plantains
Salad and Sauces.

SKU: Menu 12 Category: Tags: , ,
Shipping & Delivery

Tutakuletea chakula kikiwa kimefungwa vizuri kabisa

Gharama ya Usafiri wa kuleta chakula ni Tsh 4,000/= kwa maeneo ya karibu. Kwa maeneo ambayo twaona gharama itakuwa imezidi au kupungua ; basi muhudumu wetu atakupigia na kujadiri nawe gharama halisi ya chakula kukufikia